Kwa Kinywa Changu
Kwa Kinywa Changu | |
---|---|
Choir | St. Francis of Assisi Kariobangi |
Album | Paazeni Sauti |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Composer | Alfred Ossonga |
Kwa Kinywa Changu Lyrics
- Kwa kinywa changu nitaziimba sifa zako
Ulimi wangu utanena siku zoteOh Lord and my savior, I will sing for you *2
Mwili wangu utaja na furaha mbele zako
Moyo wangu utatoa shukurani kwako Baba - Mikono yangu napeperusha juu hewani
Nashangilia napigapiga hata makofi - Miguu yangu narusharusha pande zote
Naenda mbio nifike kule uliko nitubu - Kwa macho yangu nitakuona Mungu wangu
Kwa mawazo yangu nitakuwaza daima - Kwa masikio yangu nitakusikiliza
Uniitapo nitakuitika milele yote.