Kwa Maji Matakatifu Lyrics

KWA MAJI MATAKATIFU

 1. Kwa maji matakatifu Baba tubariki
  Tubariki Baraka toka kwa Mungu Baba *2

  Inueni mioyo, pazeni sauti mpate Baraka *2

 2. Kwa maji matakatifu Mwana tubariki
  Tubariki Baraka toka kwa Mungu Mwana *2
 3. Kwa maji matakatifu Roho tubariki
  Tubariki Baraka toka kwa Mungu Roho *2
 4. Baraka hizo mkae nazo kwani
  Kwani Kristu Kristu alipenda kanisa *2
Kwa Maji Matakatifu
CHOIR
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments