Kwa Nini Nisimpokee?

Kwa Nini Nisimpokee?
ChoirSt. Antony of padua Magomeni
AlbumTwende Mezani
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerChaungwa
SourceMagomeni Tanzania

Kwa Nini Nisimpokee? Lyrics

{ Kwa nini nisimpokee,
Kwa nini nisimpokee Bwana }*2
{ Amenialika kwa karamu yake ya mapendano
Kwa nini nisiitikie,
Kwa nini nisimpokee Bwana }*2

  1. Amejiweka katika maumbo ya mkate na divai
  2. Amenialika Mbinguni ni kweli ameniweka tayari
  3. Ni Mungu kweli ingawa hatumwoni tuwe na imani kweli