Leo ni Siku ya Furaha Lyrics

LEO NI SIKU YA FURAHA

 1. Leo ni siku ya furaha tumwabuduni Mungu *2

  [v:] Chezeni kayamba
  [w:] Aeeh chezeni ii, chezeni kayamba
  Imbeni, misa yetu imeanza
  [v:] Chezeni na ngoma

 2. Leo ni siku ya kusali....
Leo ni Siku ya Furaha
CHOIR
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments