Makusudi ya Moyo

Makusudi ya Moyo
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CategoryZaburi
ComposerFaustine Mtegeta
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania

Makusudi ya Moyo Lyrics


[s] {Makusudi ya moyo wake
[w] Makusudi ya moyo wake
Ni kwa kizazi na kizazi} * 21. Yeye huwaponya nafsi zao na mauti
Na kuwauhuisha wakati wa njaa

2. Mpigi-eni Bwana vi-gelegele
Kumsifu kunawapasa wanyofu wa moyo

3. Mwimbieni Bwana Mungu wenu kwa kinubi
Na kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442