Mateso Yake Bwana

Mateso Yake Bwana
ChoirKKT Mabibo
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
SourceDar-es-Salaam Tanzania

Mateso Yake Bwana Lyrics

 1. Mateso yake Bwana Yesu yalikuwa ya taabu nyingi
  Lakini Bwana wetu Yesu akayavumilia

  Alipokuwa msalabani, alifadhaika sana
  Akasema eloi eloi lama sabakithani (Yaani)
  Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha

 2. Pilato aliwauliza nimtendaje mtu huyu
  Wayahudi wakamjibu na asulubiwe
 3. Saa sita ilipofika Bwana Yesu alikata roho
  Mara nuru ikatoweka kukawa giza nyingi