Milele Milele Msifuni Bwana
Milele Milele Msifuni Bwana | |
---|---|
Choir | St. Paul Students' Choir (University of Nairobi) |
Album | Milele Milele Msifuni (Vol 1) |
Category | Entrance / Mwanzo |
Composer | J. C. Shomaly |
Reference | Ps. 135 |
Musical Notes | |
Timesignature | 2 4 |
Musickey | A Major |
Milele Milele Msifuni Bwana Lyrics
|s| Milele milele msifuni Bwana, mi -le -le
milele milele msifuni Bwana msifuni msifuni
|t| Milele milele msifuni Bwana
milele msifuni Bwana milele msifu msifuni
|b|Milele milele Bwana msifuni
|a| Milele milele msifuni
[b] {Pazeni sauti semeni
[w] Na ahimidiwe Bwana Mungu,
Bwana Mungu kutoka Sayuni aleluya} *2
1. Ninyi msimamao nyumbani mwa Bwana
Sifuni jina lake Bwana
2. Mlango wa Haruni msifuni Bwana
Sifuni jina lake Bwana
3. Sifuni Bwana kutoka sayuni
Sifuni jina lake Bwana
Favorite Catholic Skiza Tunes
SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.
Title | SKIZA ID |
Cha Kutumaini Sina | 5814855 |
Roho Yangu na Ikuimbie | 5814859 |
Nikupe Nini Mungu Wangu | 7482438 |
Sasa Wakati Umefika | 7482439 |
Nitakwenda Mimi Mwenyewe | 7482440 |
Zaeni Matunda Mema | 5814860 |
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu | 7482444 |
Huniongoza Mwokozi | 5814856 |
Utukuzwe Ewe Baba | 7482441 |
Tazama Tazama | 7482442 |