Mimi Ndimi Mwanzo

Mimi Ndimi Mwanzo
Choir-
CategoryMafundisho ya Yesu

Mimi Ndimi Mwanzo Lyrics

1. Mimi ndimi mwanzo tena mwisho Bwana kasema
Nitawaokoa watu wangu kwa dhambi zao


Asifiwe -asifiwe Bwana wa majeshi
Ameshinda -ameshinda dhambi za dunia
Utukufu -Utukufu uwe naye sasa
Tangu leo -tangu leo hata na milele mm


2. Kule kaburini alimfufua yule Lazaro
Tena akaokoa yule mama Msamaria

3. Kule Galilaya aligeuza maji divai,
Ukimwamini Yesu atageuza maisha yako

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442