Mimi ni Mzabibu

Mimi ni Mzabibu
ChoirSt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryMafundisho ya Yesu
Composer(traditional)
SourceTanzania
ReferenceJn. 15

Mimi ni Mzabibu Lyrics


Mimi ni mzabibu, mimi ni mzabibu
Nanyi mu matawi yangu *2


1. Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu -
Kwani mu matawi nami kweli ni mzabibu

2. Nje yangu mimi hamuwezi kuzaa kwani . . .

3. Tawi lizaalo, lizidi kuzaa kwani . . .

4. Furaha yangu iwe, ndani yenu kwani . . .

5. Ombeni lolote, nanyi mtapewa kwani . . .

6. Amri yangu ndiyo, mpate kupendana kwani . . .

7. Niliwachagua, muwe rafiki zangu kwani . . .

8. Zaeni matunda, yapate kukaa kwani . . .

Nyie ni Musavivu

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442