Login | Register

Sauti za Kuimba

Mkristu Simama Lyrics

MKRISTU SIMAMA

Mkristu simama ukatoe sadaka
Kutoa ni moyo wala si utajiri

 1. Wiki nzima Bwana amekulinda
  Kutoa sadaka zako nenda kamtolee
 2. Shida zako nenda kamtolee
  Mapendo yako nenda kamtolee
 3. Vipaji vyako nenda kamtolee
  Mazao yako nenda kamtolee
 4. Maisha yako nenda kamtolee
  Na nafsi yako nenda kamtolee
Mkristu Simama
CHOIR
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments