Mpeni Bwana Enyi Jamaa Zake
Mpeni Bwana Enyi Jamaa Zake | |
---|---|
Choir | - |
Category | Zaburi |
Composer | J. C. Shomaly |
Reference | Ps. 29 |
Mpeni Bwana Enyi Jamaa Zake Lyrics
[s] Mpeni Bwana enyi jamaa zake
[a] Mpeni Bwana utukufu *2
Mpeni Bwana utukufu, utukufu wa jina lake
(tetemekeni *3 mbele zake mpeni*2)
1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya mwimbieni nchi yote
Wahubiri watu habari zake
2. Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kusifiwa
Na kuhofiwa kuliko miungu yote
3. Mwabuduni Bwana kwa uzuri, kwa uzuri wa utakatifu
Tetemekeni mbele zake Bwana
Favorite Catholic Skiza Tunes
SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.
Title | SKIZA ID |
Cha Kutumaini Sina | 5814855 |
Roho Yangu na Ikuimbie | 5814859 |
Nikupe Nini Mungu Wangu | 7482438 |
Sasa Wakati Umefika | 7482439 |
Nitakwenda Mimi Mwenyewe | 7482440 |
Zaeni Matunda Mema | 5814860 |
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu | 7482444 |
Huniongoza Mwokozi | 5814856 |
Utukuzwe Ewe Baba | 7482441 |
Tazama Tazama | 7482442 |