Mpeni Bwana Utukufu

Mpeni Bwana Utukufu
ChoirSt. Peter's Makindu
AlbumNitakushukuru
CategoryZaburi

Mpeni Bwana Utukufu Lyrics

[s:] Mpeni Bwana enyi jamaa zake
[a:] Mpeni Bwana utukufu *2
Mpeni Bwana utukufu, utukufu wa jina lake
(tetemekeni *3 mbele zake mpeni*2)1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya mwimbieni nchi yote
Wahubiri watu habari zake

2. Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kusifiwa
Na kuhofiwa kuliko miungu yote

3. Mwabuduni Bwana kwa uzuri, kwa uzuri wa utakatifu
Tetemekeni mbele zake Bwana
(Joseph C. Shomally)

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442