Login | Register

Sauti za Kuimba

Mpigieni Mungu Kelele Lyrics

MPIGIENI MUNGU KELELE

@ J. C. Shomaly

Mpigieni Mungu kelele za shangwe (shangwe * 2)
{Nchi yote imbeni utukufu wa Jina lake yeye
[s] Tukuzeni sifa zake sifa sifa zake
[a] Tukuzeni tukuzeni tukuzeni sifa zake sifa zake
[t] Lake tukuzeni tukuzeni sifa zake
[b] Lake tukuzeni sifa zake si-fa ze} *2

  1. Kageuza bahari ikawa nchi kavu
    Katika mito walivuka kwa miguu
  2. Huko ndiko walipanda kabila kabila
    Walipa-nda walipanda kabila
  3. Njooni sikieni enyi nyote wenye kumcha
    Ahimidiwe Mungu wetu milele
Mpigieni Mungu Kelele
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMIkatetemeka Nchi (Vol 3)
CATEGORYZaburi
REFPs. 66
MUSIC KEYA Major
TIME SIGNATURE3
8
  • Comments