Msalabani Yesu Ulifia Ndugu

Msalabani Yesu Ulifia Ndugu
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
Composer(traditional)

Msalabani Yesu Ulifia Ndugu Lyrics

  1. Msalabani Yesu ulifia, ulifia ndugu

    Ee Yesu mwema, tusaidie

  2. Tangu pale daima unajitolea
  3. Moyo wako wajaa wema na msamaha
  4. Nguvu zetu haba, tunakosa sana
  5. Tule wako mwili, ponya yetu hali
  6. Kwani ni karamu, na chakula tamu
  7. Sakramenti hiyo, kweli ni mapendo
  8. Yesu mpole mwema, njoo kwangu daima