Login | Register

Sauti za Kuimba

Mshukuruni Bwana Lyrics

MSHUKURUNI BWANA

Mshukuruni Bwana [mshukuruni]
Mshukuruni Bwana Mungu
kwa kuwa yu mwema
Kwa maana fadhili zake ni za milele *2

  1. Ni wa upendo [ni wa upendo]
    Ni wa upendo Mungu kwa kuwa yu mwema
    Kwa maana fadhili zake ni za milele *2
  2. Ni wa amani…
  3. Ni wa neema…
  4. Ni wa huruma…
Mshukuruni Bwana
CHOIR
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
REFPs. 136
  • Comments