Mshukuruni Bwana

Mshukuruni Bwana
Performed by-
CategoryThanksgiving / Shukrani
Views18,454

Mshukuruni Bwana Lyrics

  1. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema
    kwa maana fadhili zake ni za milele
    Ni za milele ni za milele ni za milele * 2

  2. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema
    Kwa maana fadhili zake ni za milele
  3. Mshukuruni Mungu wa Miungu . . .
  4. Mshukuruni Bwana wa mabwana . . .
  5. Yeye peke yake amefanya maajabu makuu . . .
  6. Yeye aliyefanya mbingu kwa fahamu zake . . .