Mtunze Ndoa

Mtunze Ndoa
ChoirSt. Benedict Rapogi
AlbumHuyu Ni Yesu (Vol 1)
CategoryHarusi
ComposerJ. C. Shomaly

Mtunze Ndoa Lyrics

Mungu amewaunganisha
{ Mtunze ndoa hii yenu (kwa mapendo)
Mtunze ndoa hii yenu, mwanga wenu upendano } *2


1. Mbele ya kanisa lake Mungu - mmeunganishwa ninyi
Pendo na amani ziwe kwenu - ndoa itakate hima

2. Mume umpende mke wako - iwe fumbo lako tuzo
Mke umtunze mume wako - mbinguni katunukiwa.

3. Vita na ugomvi vijitenge - omba radhi ukosapo
Choyo na anasa visiwepo - mwanga wenu upendano

4. Nyumba ya amani lengo lenu - Kristu tegemeo lenu
Ndoa ni patano takatifu - timilifu kwake Mungu

5. Mungu awajaze neema zake -m`barikiwe na watoto
Msiwapoteze wana wenu - wote mali yake Mungu

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442