Mungu Ametuchagua

Mungu Ametuchagua
Choir-
CategoryUtume wa Uimbaji
ComposerL. Vugilo

Mungu Ametuchagua Lyrics

{ Mungu ametuchagua tumwimbie,
Kwa matendo yetu yote na moyo mwema,
Mungu ametuchagua 1(tumwimbie) } *2


1. Tumshukuru Mungu Baba aliyetuchagua (tumwimbie )

2. Ametujalia afya, aliyetuchagua (tumwimbie)

3. Tumekuwa na umoja, Baba twakushukuru (tumwimbie)

4. Tuendeleze upendo na wanakwaya wote (tumwimbie)

5. Na tupende kuheshimu wote waongozao (tumwimbie)

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442