Mungu Kaniita Lyrics

MUNGU KANIITA

@ F. Mtegeta

Tazama Mungu kaniita kati yao wanyonge
nimtumikie yeye
Tazama amenichagua kati ya viumbe
nimuimbie yeye
{Nitashangilia, sitaona haya,
nitaruka kama ndama a haa
Nami nitayatangaza bila woga
matendo yake kwa mataifa } *2

 1. Mungu amenichagua, mimi amenichagua
  Tena akanitakasa na kunibariki, nimuimbie
 2. Furaha yangu kubwa, hii ni kuimba Nimwimbie
  Mungu wangu nyakati hizi za ujana ujana wangu
 3. Tujalie ujasiri, uvumilivu, wa kutangaza
  Neno lako Mungu kwao mataifa, wakufuate.
 4. Natarajia ushindi, siku ya mwisho, Nishangilie
  Na nifurahiye utukufu wako, milele yote
Mungu Kaniita
COMPOSERF. Mtegeta
CHOIRKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
ALBUMMSHIPI (VOL. 22)
CATEGORYTafakari
MUSIC KEYA Major
TIME SIGNATURE4
8
SOURCESt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
NOTES Open PDF
 • Comments