Mungu Muumba Twakutolea Lyrics

MUNGU MUUMBA TWAKUTOLEA

 1. { Mungu Muumba twakutolea sadaka safi ee Baba pokea } *2

  Sadaka, ee Baba pokea *2
  Tunakutolea sadaka safi *2
  Sadaka, ee Baba pokea *2
 2. Mkate huu uwe mfano wa mwili wako ee Baba pokea
 3. Divai hii iwe ishara ya damu yako ee Baba pokea
 4. Na fedha zetu za mifukoni twakutolea . . .
 5. Maisha yetu kwa roho safi twakutolea . . .
 6. Mazao yetu ya mashambani twakutolea . . .
 7. Matendo yetu mateso yetu twakutolea . . .
 8. Furaha yetu uchungu wetu twakutolea . . .
 9. Kwa leo hii twakushukuru kwa wema wako . . .
Mungu Muumba Twakutolea
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments