Mungu Sisi Ututawale

Mungu Sisi Ututawale
Choir-
CategoryGeneral

Mungu Sisi Ututawale Lyrics

Mungu sisi ututawale, Mungu sisi ututawale1. Twakushukuru kwa ajili ya Yesu, Mungu sisi ututawale
Tujalie ushirika wa Yesu, Mungu sisi ututawale

2. Twakushukuru kwa amani ya Yesu . . .
Upendo wetu kwa mwanao Yesu . . .

3. Wokovu wetu twauleta kwa Yesu . . .
Huruma yako tujalie Yesu . . .

4. Majuto yetu twayaleta kwa Yesu . . .
Ee Bwana tuunganishe na Yesu . . .

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442