Mungu yu Katika Kao Lake

Mungu yu Katika Kao Lake
ChoirSt. Cecilia Zimmerman
AlbumNitasimulia Matendo (Vol 6)
CategoryZaburi
ComposerJ. C. Shomaly

Mungu yu Katika Kao Lake Lyrics


Mungu yu katika kao lake takatifu,
Yu katika kao lake takatifu *2
Mungu yu katika kao lake takatifu }*21. Mungu huwakalisha wapweke nyumbani
Yeye huwapa watu wake nguvu * 2
Huwapa watu wake nguvu na uweza }*2

2. Huwatoa wafungwa wafungwa wakae
Wakae katika hali ya kufanikiwa
{Yeye ni Baba Baba wa yatima
Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane} *2

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442