Login | Register

Sauti za Kuimba

Mvua Inarutubisha Lyrics

MVUA INARUTUBISHA

@ B. S. Buhongo

{ [ b ] Mvua inarutubisha vitu vyote
[ w ] Mvua inarutubisha vitu vyote
he! he! he! he! he! ( vitu vyote )
he! he! he! he! he! vitu vyo-te } *2
[ s/a ] Mimea inastawi kwa kupata mvua
{ Na-si binadamu tunakula na kushiba
Mile-le binadamu tunakula na kushiba
kwa uweza wa Mungu } *2

  1. [ s ] Tunapata mazao mengi kutokana na mvua,
    Tunakula na kushiba kwa uwezo wa Mungu
  2. Tunapata chakula kingi kutokana na mvua,
    Tunakula na kushiba kwa uwezo wa Mungu
  3. Tunapumua na kusema kwa uwezo wa Mungu
    Tunaimba na kucheza kwa uwezo wa Mungu
Mvua Inarutubisha
COMPOSERB. S. Buhongo
CHOIRKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
ALBUMKidole Juu (Vol 23)
CATEGORYOffertory/Sadaka
MUSIC KEYD Major
TIME SIGNATURE2
4
SOURCESt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
NOTES Open PDF
  • Comments