Mwanakondoo (Mwana wa Baba)

Mwanakondoo (Mwana wa Baba)
Performed by-
CategoryTBA
Views2,593

Mwanakondoo (Mwana wa Baba) Lyrics

  • (Mwanako-ondoo wa Mungu uu,
    Mwana wa Baba aa )*2
    Uondoaye makosa yetu Utuhurumie ee *2
  • Mwanakondoo wa Mungu uu ... ...
  • Twaomba kwa Mwanakondoo uondoaye dhambi
    Dhambi za ulimwengu huu, utupe amani ee