Mwili wa Yesu

Mwili wa Yesu
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)

Mwili wa Yesu Lyrics

 1. [s] Mwili wa Yesu kweli ni tamu sana,
  [w] Mwili wa Yesu kweli ni tamu sana,

  [s] Twendeni wote tukale mwili
  [w] Twendeni wote tukanywe damu.
  Sasa,Twendeni tukale mwili
  Sasa, Twendeni tukanywe damu

 2. Damu ya Yesu kweli ni tamu sana *2
 3. Mwakaribishwa wote kwa mwili wake *2
 4. Mwakaribishwa wote kwa damu yake *2