Mwimbieni Bwana Mungu Lyrics

MWIMBIENI BWANA MUNGU

 1. { Mwimbieni Bwana Mungu - mwimbieni wimbo mpya
  Mwimbieni wimbo mpya - aliyetujalia } *2

  Sifa kwako ee Bwana wanipenda sana
  Nitakushukuru kwa nyimbo nzuri e Bwana *2

 2. { Shukuruni Bwana Mungu - katujali siku zote
  Katujalia siku zote - asante Bwana Mungu } *2
Mwimbieni Bwana Mungu
CHOIR
CATEGORYEntrance / Mwanzo
REFPs. 98
 • Comments