Login | Register

Sauti za Kuimba

Mwimbieni Bwana Lyrics

MWIMBIENI BWANA

@ A. S. Haule

{Mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni
Mwimbieni Bwana mwimbieni,
Mwimbieni Bwana nchi yote
Mwimbieni Bwana nchi yote (yote*5) aleluya }*2

Utawala enzi ni vyake
{yeye ni Alfa na Omega ni Alfa na Omega}*4
{Mwimbieni Bwana wimbo wa karne mpya —
Mwimbieni wimbo wa karne wa karne
Wenye wingi wa sifa utukufu enzi pia heshima}*2

Utawala enzi ni vyake
{yeye ni Alfa na Omega ni Alfa na Omega}*4

  1. Mwambieni Mungu matendo yanatisha
    Yatisha ee Bwana yatisha kama nini
  2. Njooni sikieni enyi wenye kumcha
    Nitayatangaza aliyonitendea
Mwimbieni Bwana
ALT TITLEAlfa na Omega
COMPOSERA. S. Haule
CHOIRKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
ALBUMHaya Tazameni (Vol 21)
CATEGORYEntrance / Mwanzo
REFPs. 98
SOURCESt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
  • Comments