Mwimbieni Mwimbieni Bwana Lyrics

MWIMBIENI MWIMBIENI BWANA

@ J. C. Shomaly

Mwimbieni,
Mwimbieni Bwana, mwimbieni Bwana,
Mwimbieni, mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Kwa maana,
Ametenda Bwana, mambo ya ajabu,
Kwa maana Bwana ametenda maajabu,

{ Inueni sauti zenu, imbeni kwa furaha
Imbeni na zaburi mshangilieni Mwokozi } *2

  1. Mkono wa kuume, mkono wake mwenyewe
    Mkono wake wa kuume umetenda wokovu
  2. Ameufunua, Bwana amefunua
    Wokovu wake machoni kwa mataifa yote
  3. Miisho yote, miisho ya dunia
    Imeuona wokovu, wokovu wake Bwana
Mwimbieni Mwimbieni Bwana
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMTazameni Miujiza (Vol 2)
CATEGORYEntrance / Mwanzo
REFPs. 98
MUSIC KEYD Major
TIME SIGNATURE3
8
  • Comments