Login | Register

Sauti za Kuimba

Nafurahi Kukusifu Lyrics

NAFURAHI KUKUSIFU

@ J. C. Shomaly

Nafurahi nikikusifu Mungu,
Nafurahi kukushukuru Mungu
Ninapoimba, na kucheza, kukusifu Mungu wangu
Narukaruka, kama ndege, kulisifu Jina lako tukufu

  1. Jina lako tukufu na la kufurahisha, ee Bwana, ee Bwana
  2. Watu wote tusifu kwa sauti zetu, na ngoma, na ngoma
  3. Katenda miujiza leo tukawa hai, ee Bwana ee Bwana
  4. Ndege na warukeruke wanyama waimbe, ee Bwana ee Bwana
Nafurahi Kukusifu
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMMbinguni Kutakuwa Raha (Vol 4)
CATEGORYEntrance / Mwanzo
  • Comments