Nakaza Mwendo

Nakaza Mwendo
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNakaza Mwendo (Vol 19-20)
CategoryFaith
ComposerG. C. Mkude
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
Musical Notes
Timesignature2 4
MusickeyE Major
NotesOpen PDF

Nakaza Mwendo Lyrics

Siyo kwamba nimekwishafika
Au nimekwisha kamilika la! la!
{ Bali ninakaza mwendo ili nipate kulishika
Lile ambalo limeshikwa naye Kristu } *2


1. Ninaendelea mbele mimi, katika utumishi wangu
Nijalie nguvu Bwana wangu, niyashinde haya ya dunia

2. Nishike mkono Bwana wangu, shetani asinisumbue
Niongoze vyema Bwana wangu, niyashike majukumu yangu

3. Nitashinda mimi nitashinda, nitashinda kwa nguvu zako
Ninatarajia ushujaa, endapo wewe utaamua

4. Nitavikwa mimi nitavikwa, nitavikwa taji ya hadhi
Sio kwa nguvu zangu mwenyewe bali kwa nguvu za Mungu Baba

5. Aleluya nitaimba mimi, nitakapomaliza safari
Hayo ni matarajio yangu, mwisho wa hii safari yangu

siyo kwamba

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442