Nakulilia Nikiwa Chini

Nakulilia Nikiwa Chini
ChoirSt. Benedict Rapogi
AlbumHuyu Ni Yesu (Vol 1)
CategoryZaburi

Nakulilia Nikiwa Chini Lyrics


Nakulilia nikiwa chini Bwana, Nakulilia unisikilize
Nakulilia sikiliza sauti yangu (Bwana) nikiwa chini1. Roho yangu inatamani inatamani shibe zako

2. Ee Bwana unisamehe, unisamehe nakusihi

3. Nakuomba ee Baba yangu, ee Baba yangu niongoze

4. Ninakulilia nikiwa chini, nikiwa chini sikiliza

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442