Nalisikia Na Sauti

Nalisikia Na Sauti
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views3,884

Nalisikia Na Sauti Lyrics

  1. Nalisikia na sauti,
    mchunga wangu aniita
    Ee Yesu wangu ee Mwokozi
    sauti yako naijua

    Ee Yesu we Mimi Bwana nitampenda mwenzangu
    Ee Yesu we-Kama vile nijipendavyo mwenyewe *2

  2. Ukanionyesha njia
    ukaniambia nikufuate
    Jirani yangu nimpende
    nijipendavyo mwenyewe
  3. Na siku zangu zikiisha
    unikumbuke ee Mwokozi
    Na roho yangu uiweke
    popote penye utukufu