Nami Maombi Yangu

Nami Maombi Yangu
ChoirSt. Bernardette Kisii
AlbumNimevipiga Vita
CategoryZaburi

Nami Maombi Yangu Lyrics


{Nami maombi yangu na yafike mbele zako,
ee Bwana, utegee ukelele wangu sikio lako
Utegee ukelele wangu sikio lako }*21. Nihurumie mimi maana fadhili zako ni vyema
Kama vile rehema zako, unielekee

2. Nami niliye maskini na mtu wa huzuni
Mungu utukufu wako utaniinua

3. Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo wangu
Nami nitamtukuza kwa shukrani

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442