Nampenda Bwana

Nampenda Bwana
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CategoryZaburi
ComposerG. C. Mkude
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
ReferencePs. 116

Nampenda Bwana Lyrics


Nampenda Bwana kwa kuwa asikiliza, sauti yangu
Nampenda Bwana kwa kuwa asikiliza, na dua zangu
Kwa maana Bwana, amenitegea sikio lake
{ Kwa hiyo mimi,
Nitamwita nitamwita Bwana wangu siku zote } *2


1. Kamba za mauti zilinizunguka,
Shida za kuzimu zilinipata
Niliona taabu na huzuni, nikaliitia jina la Bwana
Ee Mungu ee Mungu wangu ee Mungu uniokoe

2. Bwana ni mwenye rehema na haki,
Mungu wetu ni mwenye rehema
Bwana huwalinda wasio na hila, nilikuwa tabuni akaniokoa
Ee Mungu ee Mungu wangu ee Mungu uniokoe

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442