Ee Bwana Wewe Ndiwe Mwenye Haki

Ee Bwana Wewe Ndiwe Mwenye Haki
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CategoryZaburi
ComposerJohn Mgandu
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
ReferencePs. 119
Musical Notes
Timesignature3 8
MusickeyG Major
NotesOpen PDF

Ee Bwana Wewe Ndiwe Mwenye Haki Lyrics

{Ee Bwana Bwana, Ee Bwana Bwana
Wewe ndiwe mwenye haki } *2
{ Na hukumu zako (na hukumu zako )
Na hukumu zako hukumu zako ni za adili } *2


1. Kama zilivyo rehema zako, unitendee mtumishi wako
Na amri amri zako, unifundishe unifundishe

2. Mimi ni mtumishi wako, unifahamishe unifahamishe
Nipate kuzitoa, shuhuda zako shuhuda zako

3. Bwana uwape amani wakungojao,
Ili watu wawasadiki manabii wako
Usikilize sala ya mtumwa wako, na ya taifa lako Israeli

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442