Neema na Rehema Lyrics

NEEMA NA REHEMA

@ Alfred Ossonga

 1. Neema na rehema zina wateule wa Mungu *2

  Wenye kumtumaini Mungu
  Watang`aa kama dhahabu (kama dhahabu)
  Wenye kumtumaini Mungu
  Watapata neema zake (neema zake)
  Watametameta kama nyota
  Watarukaruka mbele zake Mungu

 2. Furaha na amani ina wateule wa Mungu
 3. Upendo na umoja una wateule wa Mungu
 4. Uzima wa milele una wateule wa Mungu
Neema na Rehema
COMPOSERAlfred Ossonga
CHOIRSt. Joseph Migori
ALBUMNimeteuliwa
CATEGORYSign of Peace/Kutakiana Amani
 • Comments