Neno La Bwana ni Chakula

Neno La Bwana ni Chakula
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views4,323

Neno La Bwana ni Chakula Lyrics

  1. Neno la Bwana ni chakula
    Neno la Bwana ni kinywaji

  2. Hicho kisomo chako kitaiisha
    Bali neno lake litasimama
  3. Yote ya ulimwengu yatapita
    Bali Neno lake litasimama
  4. Usidanganyike na ya ulimwengu
    Simama imara simamia Yesu