Neno la Mungu

Neno la Mungu
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views5,576

Neno la Mungu Lyrics

  1. Neno la Mungu Mwenyezi, neno lake linakuja
    Sisi sote tulipokea neno lake kwa furaha
    Lafukuza mashetani na mizimu ya kutisha
    Laleta upatanisho kwa wote wenye chuki
    Vijana kwa vijana, watoto na wazee
    Vilema na viziwi, vipofu na viwete
    Neno faraja yetu tulipokea kwa furaha

  2. Neno lake Mungu ni mwangaza wetu
    tulipokee sisi tufurahie
  3. Neno lake Mungu kimbilio letu tulipokee . . .
  4. Neno lake Mungu ni mwanga tulifurahie . . .