- Ni zawadi twaleta kwa Bwana
Ni zawadi twaleta kwa Bwana
Ni kazi ya mikono yetu
Ni zawadi twaleta kwako ee Bwana
Pokea Baba zawadi
Ni zawadi tunaleta upokee zawadi *2
Upokee ee Bwana upokee zawadi *2
- Ni mazao twaleta kwa Baba . . .
- Na ni fedha twaleta kwa Baba . . .
- Ni mkate twaleta kwa Baba . . .
- Ni divai twaleta kwa Baba . . .
|
|
|