Login | Register

Sauti za Kuimba

Nijaposema Kwa Lugha Lyrics

NIJAPOSEMA KWA LUGHA

 1. Nijaposema kwa lugha, kushinda malaika jameni
  Kama mimi sina upendo mimi ni kitu bure

  Upendo huvumilia, upendo hauoni mabaya
  Upendo hauna wivu, upendo hauchoki jamani

 2. Nijapohubiri sana, mbele ya watu wengi jamani,
  Kama mimi sina upendo mimi ni kitu bure
 3. Nijapotoa mwili wangu, niungue motoni jamani,
  Kama mimi sina upendo mimi ni kitu bure
Nijaposema Kwa Lugha
CATEGORYLove
REF1 Cor 13
 • Comments