[b] Nijaposema tena kwa lugha
za wanadamu na za malaika, mimi
/s/ Kama sina upendo, kama sina upendo,
kama sina upendo mimi sifai kitu
/a/ Kama sina upendo kama, mimi sina upendo
kama sina upendo mimi sifai kitu
/t/ Kama sina upendo u-upendo,
sina upendo, sina upendo -fai kitu
/b/ kama sina upendo u-upendo sina,
upendo sifai kitu
- [s] Nikiutoa mwili wangu niungue moto,
kama sina upendo mimi sifai kitu
- [t] Hata nikiimba pia nirukeruke,
kama sina upendo sifai kitu
- [a] Hata na mimi nikitoa mali yangu yote,
kama sina upendo mimi sifai kitu
- [b] Nikitoa mali yangu kwa maskini,
kama mimi sina upendo sifai kitu
|
|
|