Nikiziangalia Mbingu

Nikiziangalia Mbingu
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CategoryZaburi
ComposerG. C. Mkude
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
ReferencePs. 8
Musical Notes
Timesignature2 4
MusickeyD Major
NotesOpen PDF

Nikiziangalia Mbingu Lyrics

{ Nikiziangalia mbingu, ni kazi ya vidole vyako
Mwezi na nyota za Mbinguni, ulizoratibisha wewe } *2


1. Naye mtu ni kitu gani, hata naye umkumbuke
Naye binadamu ni nani, hata naye umuangalie

2. Umemfanya punde mdogo ni mdogo kuliko Mungu
Umemvika taji yake, taji ya utukufu na heshima

3. Umemtawaza juu ya kazi, ni kazi ya mikono yako
Umevitia vitu vyote, chini ya miguu yako ee Bwana

4. Kondoo nao ng'ombe wote pia wanyama wa kondeni
Ndege wote wa angani na samaki wote wote baharini

~ Key D 2/4 | Kwaya Kuu ya Mt. Cecilia Arusha (KMC)

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442