Nimepiga Vita

Nimepiga Vita
ChoirSt. Joseph Migori
AlbumMabawa
CategoryGeneral
ComposerAlfred Ossonga
Reference2 Tim. 4

Nimepiga Vita Lyrics


Nimepiga vita, vilivyo vyema,
Vita vya roho na mwendo nimeumaliza *2
Sasa nangojea kupewa taji ya washindi
[Na] sio mimi peke yangu *2
Pamoja na wateule waloshinda vita1. Ninakuagiza mbele ya Mungu na mbele ya Kristu
Ukalihubiri Neno uwe tayari siku zote
Ukaripie unene kwa uvumilivu

2. Nao watajiepusha wasisikie yalo kweli
Mimi nimevumilia hadi ninaoga mikono
Bali wewe uwe na ukamilifu katika mambo yako

3. Uvumilie mabaya fanya kazi ya kuhubiri
Uihubiri injili uitimize huduma yako
Sasa wakati wa kufa kwangu umefika

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442