Nimtume Nani

Nimtume Nani
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views10,328

Nimtume Nani Lyrics

  1. Nimtume nani, nimtume nani, nitume mimi
    Nami nitakwenda shambani mwako
    Nikavune yote yaliyo bora, unitume Bwana

  2. Mmejitoa kwa Bwana Mungu, mkaifanye kazi ya Bwana, Enendeni mkaifanye
  3. Mavuno yote sasa tayari, mkayavune yaliyo bora,
    Enendeni shambani mwake
  4. Viumbe wote mwahubirie, na mwisho wote wafike kwangu,
    Wakaishi milele yote