Njoo malaika uchukue sadaka
Upeleke mbele ya altare ya Mungu njoo njoo
- Njoo malaika toka mbinguni
Upeleke sadaka mbele ya Bwana, njoo njoo
- Shuka malaika toka mbinguni
Upeleke sadaka mbele ya Mungu, njoo njoo
- Hayo Ndiyo mazao ya nchi yetu
Ni kazi yetu ya wanadamu njoo njoo
- Tunakutolea vipaji vyetu
Bwana upokee, twakutolea, njoo njoo
|
|
|