Njoo Wangu Mfariji

Njoo Wangu Mfariji
ChoirSt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryRoho Mtakatifu (Pentecoste)
ComposerJoseph Makoye
SourceTraditional
Musical Notes
Timesignature2 4
MusickeyG Major
NotesOpen PDF

Njoo Wangu Mfariji Lyrics

{ Njoo wangu Mfariji, yako shusha mapaji,
Roho Mungu njoo } *21. Hekima nishushie, Mungu nimfuate,
Roho Mungu njoo

2. Akili nijalie, imani nizidie,
Roho Mungu njoo

3. Nieneze shauri, nishike njia nzuri,
Roho Mungu njoo

4. Nizidishie nguvu, n`sifanye ulegevu,
Roho Mungu njoo

5. Elimu nieleze, hakika niongoze,
Roho Mungu njoo

6. Ibada niwashie, pekee nikutamani,
Roho Mungu njoo

7. Uchaji nitilie, dhambi niichukie,
Roho Mungu njoo
Harmonized by J. Makoye

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442