Njooni Niwafundishe

Njooni Niwafundishe
ChoirSt. Joseph Migori
CategoryGeneral

Njooni Niwafundishe Lyrics

{Njooni kwangu (ni) niwafundishe hekima
Njooni mpate hekima }*2
{Niwafundishe upendo, niwafundishe kusali
Na niwafundishe kuimba
Njoni kwangu enyi wanangu nitawafundisha yote}*2

 1. Ili tuwe na hekima, mpaka tumjue Mungu,
  Kwani mwanzo wa hekima ni kumjua Mungu *2
 2. Tukipata hekima, tumepata busara
  Tumepata na elimu ya kumjua Mungu *2
 3. Bwana Mungu anasema kwamba watu wangu
  Wanaangamia wote kwa kukosa hekima *2
 4. Niwafundishe kuishi maisha ya amani
  Niwafundishe kunena maneno ya hekima

Favorite Catholic Skiza Tunes