Njooni Nyote Lyrics

NJOONI NYOTE

 • Njooni nyote watu wote
  Mkiachwa na hiyo mtapata gani

 • Chelewa chelewa wahenga walisema
  Utakuja kuta mwana si wako
  Tena mambo yamepanda ngazi
  Shughuli shughuli hapa na pale
  Arusi hii imepamba moto
 • Sikia uhondo wa ngoma
  Ngoma taratibu tutatoa wapi vinanda
  Tushangilie sikia sauti shangwe na nderemo
  Tupate uhondo wa ngoma nzito nzito
  Nzito sana nzito nzito
  Mziki wa mbali hurrah!
 • Ndege ya arusi sasa imengoa nanga
  Sasa imebeba maharusi _____ na _____
  Kwa lugha ya kinaganaga
  Arusi hii kweli imepamba moto
Njooni Nyote
CHOIR
CATEGORYHarusi
 • Comments