Login | Register

Sauti za Kuimba

Njooni Nyote Njooni Nyote Lyrics

NJOONI NYOTE NJOONI NYOTE

[t] Njooni nyote *2 tuingie nyumbani
[b] Nyumbani Mwa Bwana
[w]Nyumbani mwa Bwana
Bwana Mungu wa majeshi

  1. Tuingie kwa furaha na shangwe
    Tumwabudu Bwana muumba wetu
  2. Sisi ndio watu wake Bwana
    Tumwimbie Bwana Mumba wetu
  3. Twakuita kwa vigelegele na vinanda pia baragumu
    Sifu jina lake kuu tuliabudu na kulitukuza
Njooni Nyote Njooni Nyote
CHOIR
CATEGORYEntrance / Mwanzo
  • Comments