Login | Register

Sauti za Kuimba

Njooni Nyote Tumshangilie Lyrics

NJOONI NYOTE TUMSHANGILIE

Njooni nyote tumshangilie Bwana Mungu wetu
Njooni nyote tumshangilie Bwana Mungu wetu

 1. Na kwa maisha yetu - tunakushukuru
  Na kwa upendo wako - tunakusalimu
 2. Na kwa umoja wetu - tunakuheshimu
  Na kwa imani yetu - tunakutukuza
 3. Na kwa furaha yetu - tunakusifu wee
  Na kwa uchungu wetu - tunakuomba wee
 4. Na kwa mazao yetu - tunajitolea
  Na hayo yote Baba - tunakutolea
Njooni Nyote Tumshangilie
CHOIR
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments